Paroles.cc - Chercher

Les paroles de la chanson
« Like an angel »
Khadja Nin

analiya disiwe
mume wake
ajali haina kinga
wala kafara

anaenda kijana
maladi inamushinda
ana aca bibi
na mutoto mudogo
mwanaume
analala kimya
like an angel

mbele ya kufunga maco
alimwambiya:
"bibi yangu unisamehe
ju sina mali
ya kukuaciya
mungu akulinde
like an angel"

mawa ju kijana ule
anaenda huruma
mawa oh! maliyo!

sheria ya mungu mama
hayijulikane
ajali haina kinga
wala kafara :
"kwaheli
mpenzi wangu
wende salama
lala...like an angel
like an angel"